Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukisikia ma kungwi ndo hawa!
Dada umebakiza Mimi tu ndo nimekosa kwenye list yako! Ndio pekee nipo single πŸ˜‰
itakuwa either single kijeiefu,
amani umeachika
or haujatimiza 30yrs.
 
itakuwa either single kijeiefu,
amani umeachika
or haujatimiza 30yrs.
Ha ha!
Sina hiyo mijiaka 30 mingi sana!
Kuachika mwanaume siachwi naacha!
Kijeiefu Sina la kuteta juu ya hiliπŸ˜‰..
 
alafu wewe kwenye maswala ya kutafuta wachumba wa kiume sio mgeni aiseee na sasa umekuja kivingine kabisa.

mimi na wenzangu tulijitolea kukuchumbia ila ukatuchuja kisawa sawaaaa na ukaambulia patupu,kwa maana hiyo ile audition inaanza moja tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe si mgeni kwenye hizi nyuzi humu ndani?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sijui kwenye urefu kama nafiti najihisi mimi ni mfupi,lakini kazi nafanya za hapa na pale bado sina kazi ya kueleweka niko Tanga
 

Tako lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…