- Thread starter
- #541
Sawa huna kazi ila sasa unaishi vipi, Upo kwa wazazi?, do you have any plans ama umeridhika hivo hivo?Mie sina kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa huna kazi ila sasa unaishi vipi, Upo kwa wazazi?, do you have any plans ama umeridhika hivo hivo?Mie sina kazi
Watoto nikiwa nao mwisho wangapi?Karibu hujachelewa
Haina mwisho , njoo na watoto wote tu ni baraka kutoka kwa Mungu😍
Kama hauko serious, si lazima kucomment mkuu.Nitafute, ila dyudyu yangu ina ncha
Acha kiburi cha uzima wewe,mwache ajaribu bahati yake......
DM yako imefungwa mbona?Haina mwisho , njoo na watoto wote tu ni baraka kutoka kwa Mungu[emoji7]
Huyo demu wangu yuko instagram......huko anaitwa Angel vedasto!!!!! Ana wowowo kama loteeeee....... Hey wana JF Mniachie My wanguuj[emoji7][emoji7][emoji7]Hongera sana kama ndiyo wewe huyu...View attachment 1702928
mweee.. 😁Dah! Kama nitakukosa na wewe basi huu mwaka ndiyo utapita hivi hivi kwa mara nyingine! Come pm baby, am your future Hubby! Vigezo vyote ninavyo.
Na wewe unataka kuolewa? dyudyu yangu ni mchongokoKama hauko serious, si lazima kucomment mkuu.
Ahsante sana 👏Acha kiburi cha uzima wewe,mwache ajaribu bahati yake......
Huo uandishi wako unaleta shaka hivi, are you a lady?Na wewe unataka kuolewa? dyudyu yangu ni mchongoko
Hahaa, kama ulivopeleka kalio lako wewe wakakujulisha eeh sad, mkaka mzima rijali hawezi kuandika hivo eti nna "dyudyu" umenipa mashaka sana. I think you're the stupid one kuleta masikhara kwenye uzi wa mtu. Ungeweza kukaa kimya tu.Stop being stupid, leta kalio utajua
Niko Hussein BolTi wew tu.Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
SawaFind me please if you serious.
Gasperjbruno@gmail.com