Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!

Nahitaji mjadala wa wazi na wafuatao.. Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature..kwanza!

In short, it can be said that nature depends on the inherited skills whereas nurture depends on the improved skills.

safi sana..tell me have u ever travell by airplanes inside ur country? ntaenda kwenye key point ya mjadala soon...
 
Sijawahi kufikiria kuhusu ndege, ila natamani sana kusafiri kwa ungo.....vipi huko kwenu mna utaalamu wa mambo ya ungo?

ha ha ha ha..tatizo ungo unatumia damu ya binadamu! technolojia ngumu sana kusafiria ungo Mrembo by Nature, afu maarifa yako ni makubwa.. usiweke hasira tafadhali
 
Last edited by a moderator:

Ninatamani sana one day nisafiri kwa ungo, teknolojia hii iwekwe wazi tupunguze fossil fuel consumption ili tulinde mazingira. Wala sina hasira refa ila sasa vipi ile bahasha? unajua ukiiweka wazi nakuwa na nguvu zaudi ya kushiriki kwenye hii live talk

Bahasha refa
 
Attachments

  • envelope.png
    envelope.png
    10.5 KB · Views: 22
Ninatamani sana one day nisafiri kwa ungo, teknolojia hii iwekwe wazi tupunguze fossil fuel consumption ili tulinde mazingiza. Wala sina hasira refa ila sasa vipi ile bahasha? unajua ukiiweka wazi nakuwa na nguvu zaudi ya kushiriki kwenye hii live talk

Bahasha refa

ooh! bahasha imesheheni usijali..
 
Back
Top Bottom