Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
ooh! bahasha imesheheni usijali..
Saa ngapi sasa bahasha inawekwa? kwanza hapa kuna pesa ya tokea asubuhi hadi muda huu, na muda huu ni usiku so unakuwa na special package kumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ooh! bahasha imesheheni usijali..
akija mwanamasumbwi
ndio utajua hilo ni pambano au la!!
who is that? anaweza kumpiga nani kati ya hawa? Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature? atatumia nini? usiogopeshe watu..
BTW najaribu kufanya mawasiliano na Natalia..awe pembeni kusikiliza mjadala!
Saa ngapi sasa bahasha inawekwa? kwanza hapa kuna pesa ya tokea asubuhi hadi muda huu, na muda huu ni usiku so unakuwa na special package kumbuka
hahahaaa!!uwiiii eeee
mi ngoja nikae pembeni
ndani mna $150 na baada ya mjadala figganigga atakuwa na la ziada.. tuendelee tafadhali!!
Nimeshindwa mimi, hela gani hiyo sasa? siku yangu nzima nipate shilingi 150?? alafu hako kaalama kwenye hicho kiwango ndio nini? wewe hauko serious kweli?
niko serious na sijasema kuwa hyo ni shilingi 150..
Hako kaalama kama ka S kabla ya hiyo hela ndio ka nini hapo?teh teh
​tchaooooo!!yaah! utakuwa umefanya la maana ukikaa pembeni..
​tchaooooo!!
Hako kaalama kama ka S kabla ya hiyo hela ndio ka nini hapo?teh teh
Passion Lady kama kweli unanipenda utanilinda kwa kunambia hapa pana nini.....​tchaooooo!!
haka $? dollar
itakua shinyanga
navyoelewa mimi!!
itakua shinyanga
navyoelewa mimi!!
ni mjadala tu! sema hoja haipo wazi..kwa sababu maalumu.
Dollar ndio nini? kule milima ya upare sijawahi ona hiyo kitu
sorry! kumbe ulikuwa unamaana kubwa hivi? nimekusoma..naomba tuendelee na mjadala,