Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
ha ha ha ha... mkuu Kaizer nipo kwenye utaratibu wakumtumia figganigga kama mdhamini wa mjadala hapa na ninaamini kwa uwepo wa Mrembo by Nature hata kataa! sasa wewe unavyomuulizia unataka kunifukuzia mdhamini..
dah ngoja nisepe nitamtafura kwa muda wangu move ya figganigga nimeiona toka jana..kumbe ndo unataka umwuzie kesi? leo unaenda uwanja wa taifa nini hahaha
Last edited by a moderator: