Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana.

Huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.

cc Equation x

Au

Kusema ukweli nahitaji mtoto wa kike au wa kiume umri kuanza mwezi 1 hadi miezi 6, tatizo nililo nalo siwezi kulizungumzia hapa, ila naomba msaada namna ya kumpata, nafahamu vipo vituo vya watoto yatima, sitaki kwenda huko nahitaji nampataje sitaki process zote za serikali za kurithi maana zina mlolongo mkubwa. Je kuna uwezekano wa kumpata kwa namna gani,

Niombe nisiulizwe swali kama HUNA KIZAZI UZAE, MTAFUTA MKE UZAE NAYE.
Kuna jambo kubwa la kujifunza hapa hasa kwa wale wanaotupa watoto wachanga au kutoa mimba.Kuna watu wanawahitaji sana watoto lkn bahati mbaya Mungu hakuwajalia neema hiyo,wewe uliyejaliwa wapokee watoto kwa shukrani.Mtoa thread nakutakia kila la kheri,Mungu akujalie utimize haja njema ya moyo wako.
 
Anasema mtoto wa kwenda kumlea kumbe anaenda kukatoa kafara[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa bhana sema mwana afate taratibu za kisheria tu akitaka kupita njia za panya kesho yatamkuta makubwaa
Mkuu bado sijakuelewa lengo lako ,kama ni la kheri ni bora utafute mwanamke mkubaliane kwamba akuzalie kisha umkatie mpunga wa malezi,nitakuelewa endapo kama unatatizo la kutungisha mimba ila kama hauna basi kuna walakini maana hali ya sasa inatisha mambo ya ndagu/ngende/kafara na ushirikina ni mwingi sana.
 
Anasema mtoto wa kwenda kumlea kumbe anaenda kukatoa kafara[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa bhana sema mwana afate taratibu za kisheria tu akitaka kupita njia za panya kesho yatamkuta makubwaa
Acha tu mkuu watu wanafanya mambo ya ajabu.
 
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana.

Huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.

cc Equation x

Au

Kusema ukweli nahitaji mtoto wa kike au wa kiume umri kuanza mwezi 1 hadi miezi 6, tatizo nililo nalo siwezi kulizungumzia hapa, ila naomba msaada namna ya kumpata, nafahamu vipo vituo vya watoto yatima, sitaki kwenda huko nahitaji nampataje sitaki process zote za serikali za kurithi maana zina mlolongo mkubwa. Je kuna uwezekano wa kumpata kwa namna gani,

Niombe nisiulizwe swali kama HUNA KIZAZI UZAE, MTAFUTA MKE UZAE NAYE.
pole mkuu usijali kama upo serious utampata tu
 
Back
Top Bottom