Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Mimi ni ME sio KE
Ni ke wewe kwa vyovyote vile
Mimi ni ME sio KE
Njoo basi kwangu unitie mimbaHapatikani ki urahisi kwa lengo la kumtia mimba akuzalie
Mkuu njoo PM.Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Nitake rathi, utani wako umevuka mipaka. sihitaji comment yako kama una chukiNanusa kafara hapa
Usishangae nihurumie tuYaani hii stori yake bado naishangaa sana
Njoo hapa morocco Air tell HQ, kuna mwanamke taahira anazurura na mimba kubwa.Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
sio nguvu za kiume, huyo hana uzazi bt nguvu za kugegeda anazo.Nguvu za Kiumee...!! Mkuu Mungu akusaidie usikate tamaa ipo siku utafanikishaa tuu...
Njoo hapa morocco Air tell HQ, kuna mwanamke taahira anazurura na mimba kubwa.
Anaomba omba watu pesa.
Mchukue ukamlee akizaa chukua mtoto
Huyo ndio anakufaa,Umeshasema ni tahira hana akili timamu
Sio vizuri unaponielekeza nimchukue kichaa, basi mfanyie timing akizaa unichukulie huyo mtoto unipeHuyo ndio anakufaa,
Ah unachagua kwani ni kafara unnaenda Ku to a?
Wewe ni wema sepetu?Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana.
Huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Kwani mleta mada ni jinsia gani?Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Tangu lini tukataniana mi na wewe!!!, ukweli unauma siku zote, kumeza au kuutema ni juu yako,Nitake rathi, utani wako umevuka mipaka. sihitaji comment yako kama una chuki
Nini kimepelekea hiyo Hali mkuu?Usishangae nihurumie tu
Oa mke halafu mtafute house boy rijali,baada ya hapo utatengeneza mazingira ya wao kwanza kufanya yao,watafanya yao mwisho wa siku mimba na malengo yako yatakuwa yametimiaNina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana.
Huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Au
Kusema ukweli nahitaji mtoto wa kike au wa kiume umri kuanza mwezi 1 hadi miezi 6, tatizo nililo nalo siwezi kulizungumzia hapa, ila naomba msaada namna ya kumpata, nafahamu vipo vituo vya watoto yatima, sitaki kwenda huko nahitaji nampataje sitaki process zote za serikali za kurithi maana zina mlolongo mkubwa. Je kuna uwezekano wa kumpata kwa namna gani,
Niombe nisiulizwe swali kama HUNA KIZAZI UZAE, MTAFUTA MKE UZAE NAYE.
Haya bwanaSio vizuri unaponielekeza nimchukue kichaa, basi mfanyie timing akizaa unichukulie huyo mtoto unipe