Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Pole sana mkuu maana nathani unapita kwenye hali isio ya kawaida ndio maana unauhitaji huo.
Ingawa sio rahisi sana kama unavyotaka lakini binasfi nakutakia yote mema.
Ila usilazimishe sana kisichopo kiwe, na pia wanasema kikuepukacho kina heri ndani yake.
 
Huna lolote

Utakuwa umemdanganya mumeo una mimba.

Kwanini upange umri wa mimba? Kwanini ukatae yatima?

Subiri kuchukua watoto wale wanaotupwa.
 
Njia aliyoichagua ni ngumu sana, labda angejaribu kwenye gitua vya yatima, au agetafuta mwanamke mjamzito aliyebakwa, hajui baba wa mtoto, aoe mama pamoja na mtoto tumboni
Tusubiri kuona labda atapata....mpeni angalau mtoto mmoja tu
 
Kusoma hujui basi hata picha huioni? Mwenzio iz don't have mbegu.
Nampa pole lakini hii shortcut ni ngumu, atlist adoption kwenye vituo vya yatima ni njia ambayo haitampa stress, anadai ni process ndefu, kama kweli amdhamiria na anashida ya mtoto, sidhani kama hizo process ni kitu
 
Nilisikia Tembea uone, lkn leo naweza sema ingia Jamii Forum usikie!

Pole Mkuu, kama una tatizo la msingi linalokufanya usipate mtoto kupitia kiuno chako. Lakn kumbuka Mungu ndo anatubarikia Watoto kwa wakati anaona ni sahihi.
 
Hivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili suala la kushindwa kumpa mwanamke uja uzito hasa kwa mwanaume inatokana na..

Upungufu wa Sperm.. low sperm count.

Sperm kushindwa kusmim mpaka kulikuta yai means hazina nguvu

Mashine kushindwa kusimama na kueject sperm kwa force ya kutosha kutia mimbaa...!!

Hizi ni baadhi ya factors but zinatibika mkuu
 
Asante kwa somo lako. Hii changamoto naipitia pia japo sijajua sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom