Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Hivi angekuwa na uwezo huo angekuja hapa kweli????Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Hivi angekuwa na uwezo huo angekuja hapa kweli????Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Kuelewana tu
Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Nguvu za kiume hazina uhusiano wa mbegu za uzazi,unaweza kuwa unapiga show masaa3 ila unakojoa maji,mbegu hazikimbii,vichwa vibovu hazina nguvu,na sabab nying yan unakuwa huna hata mbegu moja,mwengine akawa anachomeka sekunde kadhaa kakojoa akatia na mimbaHivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii njia unayotaka kutumia inachangamoto kubwa kuliko hiyo ya kwenda kwenye vituo vya kulelea watoto. Umejaribu kuulizia vipi kuhusu sheria za hapa Tanzania zinasemaje?Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
NitafuteNina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Msaidie mkuuHapa sasa unaweza kupata.Mungu akutangulie mkuu
KufanyajeMsaidie mkuu
Anataka 🕺Kufanyaje
Naona huko unakoelekea utanikwaza.tuishie hapa🥂🥂Anataka 🕺
Nguvu za Kiumee...!! Mkuu Mungu akusaidie usikate tamaa ipo siku utafanikishaa tuu...
Uko uzi mwingine anatafuta mdada mwenye mimba ya miezi 5 au 6,hii awamu imeharibu vijana mpka wamekua wehuUnataka kumtoa ndagu wewe si bure!
Ngoja waje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]Kuna wanawake wana mafurushi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Umepatia mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiyo mi furushi mkuu[emoji849][emoji849]
Yaani hii stori yake bado naishangaa sanampe pole tu.
Duuuh Kama Ni kweli....Nguvu za Kiumee...!! Mkuu Mungu akusaidie usikate tamaa ipo siku utafanikishaa tuu...