natafuta ambaye anayedai hakuwa na mpango na hajapenda kuwa nayo(ye) maana hakupanga huyo atakuwa amenipa kwa moyo mkunjufuTz ni pesa tu. Mimi binafsi kuna wadada wengi sana wanataka kuzaa na mimi sababu wanajua nina $$ na nitawahudumia. Sasa hapo fanya tu hivyo. Tumia $$ yako ikusaidie. Kama una tatizo la fertility, ongea tu na msichana au chagua pia mwanaume mwenye mbegu nzuri akusaidie kwa hilo
namna hii ni kama kumuadhibuKama unapesa hii inshu rahis sana,maana sku hz wanawake wanazaa hovyo hovyo kama mifugo,andaa million mpe singo mama Mdogo ambae itabid umsafirishe umuweke mbali na kwao umtunze hata KWA miaka 3 baadae ndo muachane
Ukiwatafuta utawapataPa kumpata sasa, maana sihitaji anisumbue kuhusu mtoto akishanipa
msaada wa connection plsUkiwatafuta utawapata
Fungua uzi wa kutafuta mke mjamzitomsaada wa connection pls
Ah huyo atanilazimisha nimchukue mazima, anyway subiri nijaribu kufungua tuone matunda yakeFungua uzi wa kutafuta mke mjamzito
Labda jamaa ana matatizo ya uzazi kaamua kupata mtoto kwa njia nyingine.Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Wewe ni ME au KE?Nina uhitaji wa mtoto, sasa endapo atakuwepo mdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe kwa vyovyote vile na nitamuingiza kwenye ukoo wangu. nafahamu kuna vituo vya kulelea yatima ila sihitaji huko mbali sana na process za kurithi ni ngumu sana. huu ni kama msaada kwa mama mjamzito kama atakuwa ni mtu ambaye labda hakupanga kuzaa ila imetokea na hayuko tayari kuwa na huyo mtoto.
cc Equation x
Unaharaka kuliko Mwenye mtoto yaani 5-8 aaaah kuwa na subira bhana tafuta surrogate muingie mkataba umlipe na kumuhudumia from day1 then akijifungua anakupa mtoto wakomdada ambaye ni mjamzito miezi 5-8 nahitaji akizaa mtoto awe wakwangu anikabidhi basi tuwe tumemalizana nitamlea mwenyewe