Nahitaji Mjamzito anipatie au nipate Mtoto (Kiume au Kike) ili nimlee mtoto kama wangu

Kuna jambo kubwa la kujifunza hapa hasa kwa wale wanaotupa watoto wachanga au kutoa mimba.Kuna watu wanawahitaji sana watoto lkn bahati mbaya Mungu hakuwajalia neema hiyo,wewe uliyejaliwa wapokee watoto kwa shukrani.Mtoa thread nakutakia kila la kheri,Mungu akujalie utimize haja njema ya moyo wako.
 
Anasema mtoto wa kwenda kumlea kumbe anaenda kukatoa kafara[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa bhana sema mwana afate taratibu za kisheria tu akitaka kupita njia za panya kesho yatamkuta makubwaa
 
Anasema mtoto wa kwenda kumlea kumbe anaenda kukatoa kafara[emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa bhana sema mwana afate taratibu za kisheria tu akitaka kupita njia za panya kesho yatamkuta makubwaa
Acha tu mkuu watu wanafanya mambo ya ajabu.
 
pole mkuu usijali kama upo serious utampata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…