Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Tutajenga nyumba yetu baada ya ndoa. Naishi dodoma. Mchumba Atanizalia mtoto 1. Awe tayari kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe