Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

Nahitaji mke wa pili nioe ndani ya miezi 5

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Tutajenga nyumba yetu baada ya ndoa. Naishi dodoma. Mchumba Atanizalia mtoto 1. Awe tayari kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe
 
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Titajenga nyumbabya baada ya ndoa. Naishi dodoma. Atanizalia mtoto 1. Awe tayar kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe
ASIWE MCHAGA😀😀😀
 
Basi aje mwanamke wa 45 kwenda juu si chini ya hapo ila vigezo vingine vyote vibaki kama vilivyo
 
Watu wanalewa wanaleta uzi,,, ! Kuna kitu kinaitwa menopause unakijua ?
 
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Titajenga nyumbabya baada ya ndoa. Naishi dodoma. Atanizalia mtoto 1. Awe tayar kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe
Vibabu wengine tuna matatizo sana, sasa huyo mbibi wa 50+ anaanzaje kuzaa? Huyo mtoto wa nyie vizee viwili nani atamlea na kumtuza? Hata STD 7 hajamaliza mmoja ame RIP mwingine kikongwe. Wewe tafuta wa kukojoleana mmakizie uzee.
Halafu umesema mkristo?
 
Basi aje mwanamke wa 45 kwenda juu si chini ya hapo ila vigezo vingine vyote vibaki kama vilivyo
45 kwenda juu na bado unataka akuzalie watoto? Au mtatumia njia za kitaalam kupata watoto?
 
Back
Top Bottom