Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
ASIWE MCHAGA😀😀😀Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Titajenga nyumbabya baada ya ndoa. Naishi dodoma. Atanizalia mtoto 1. Awe tayar kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe
Nina miaka 51
Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51.
punguaniAtanizalia mtoto
Hatuta wezana maana kuna tabia zingine hapanaSas sisi wachaga tumekukosea nini mkuu
Vibabu wengine tuna matatizo sana, sasa huyo mbibi wa 50+ anaanzaje kuzaa? Huyo mtoto wa nyie vizee viwili nani atamlea na kumtuza? Hata STD 7 hajamaliza mmoja ame RIP mwingine kikongwe. Wewe tafuta wa kukojoleana mmakizie uzee.Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali tulizo chuma kila mtu akiwa peke yake. Titajenga nyumbabya baada ya ndoa. Naishi dodoma. Atanizalia mtoto 1. Awe tayar kuwa mke wa ndoa mpaka tuzikane. Vigezo vizingatiwe
45 kwenda juu na bado unataka akuzalie watoto? Au mtatumia njia za kitaalam kupata watoto?Basi aje mwanamke wa 45 kwenda juu si chini ya hapo ila vigezo vingine vyote vibaki kama vilivyo
Mtoto 1 tu njia yoyote ile hata tusipo pata sawa tu45 kwenda juu na bado unataka akuzalie watoto? Au mtatumia njia za kitaalam kupata watoto?