Yani bado unachagua! hiv nyie wagalatia ni nani aliyewaroga?Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Husika na mada hapo juu

Sasa hapo wagalatia wanahusika vipi mkuu?Yani bado unachagua! hiv nyie wagalatia ni nani aliyewaroga?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nayeye ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, ume juaje kama ni mgalatia?Yani bado unachagua! hiv nyie wagalatia ni nani aliyewaroga?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Cheki kada wa ccm polepole 0733123123Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Maisha yapo speed Sana... Yaani Mwanamke anatafuta Mwanaume Kisha anaweka vigezo. Nani anatoa Mali?Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Sio mahali pakeMimi ninamiaka 23 sipati nafasi hapo [emoji846][emoji846]
Endelea kuchaguaSio mahali pake