Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Yani bado unachagua! hiv nyie wagalatia ni nani aliyewaroga?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante

Wewe unatoka mkoa gani??
 
Cheki kada wa ccm polepole 0733123123
 
Husika na mada hapo juu
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37 nahitaji mwanaume alie na hitaji la mke. Mme wa mtu sihitaji kabisa. Nina mtoto mmoja. Naye akiwa na watoto ni vizuri. Mme awe anatokea mikoa ya iringa, mbeya na njombe ili iwe rahisi kuonana . Kama una umri chini ya 38 tusitafutane. Mwenye nia ya dhati ya mke anipm. Ahsante
Maisha yapo speed Sana... Yaani Mwanamke anatafuta Mwanaume Kisha anaweka vigezo. Nani anatoa Mali?
 
Back
Top Bottom