Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

Punguza huo mwili uwe kipotable kwelihawapendi miili mikubwa hiyo harafu tembelea hotel za ufukweni utafanikiwa kila la kheri bibie
Mkuu mi ni mwembamba sema c kiviile Nina ka no8 ivi kwa mbali. Sema nimeanza kunenepa tumbo ndio shida sasa
 
Jifunze vizuri lugha ya malkia, ishi kwa kujitegemea, penda uafrika wako asilia na kisha jichanganye sana na wazungu. Ni lazima tu utapata mzungu wa kukutamani kukutafuna na hapo ndipo utaolewa naye.

Ukifanikiwa, ulete feedback hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…