LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ila watu wa humu komedi tosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ila watu wa humu komedi tosha
Nawe unataka umfungulie kesi 😅Nimekumbuka nliwahi panda mwendokasi mda umeenda kidogo..nkapanda gari Iko full..mi na mkaka mmoja kanizidi kimo tukajikuta tumesimama eneo la karibu na mlangoni cm chache tunatazamana uso Kwa uso mweh!
Haya mambo yapo kuna wanawake wana akili mbovu sana hapa town.Chaaai
Mtoa mada kasusiwa anenda kushtaki..kanyanyaswaDunga dunga hao , wenye magari mnakosa uhondo asee !! Sasa ndo umkute mrembo neema za Bwana zimemjalia yaan zigo 8Gb halafu kama kaamua kukususia basi baki nalo ! 🤣🤣🤣
Jesus see the people you died for 🤣
Hapana.nlienjoy.Nawe unataka umfungulie kesi 😅
Huyo dada angenisusia mimi akaonaMtoa mada kasusiwa anenda kushtaki..kanyanyaswa
Nafuatilia story kwa ukaribu zaidi,Alikua kanipita kimo mi nimeinama naangalia madirishani.ye Kuna mda kumbe ananiangalia.nami nkainua uso nakuja ananiangalia Tena wale wanaojiamini.
Ilibidi niendelee kuinama
LohHuyo dada angenisusia mimi akaona
Imeisha Mzee🤣Nafuatilia story kwa ukaribu zaidi,
Halafu ikawaje.....?
Dah! Nahisi hata mimi umeninyanyasa tu kwa kukatisha hii story tamu.Imeisha Mzee🤣
Hiyo sio disrespect aisee.
Ungeendelea kumwangalia jamaa angekula mate kimasiharaAlikua kanipita kimo mi nimeinama naangalia madirishani.ye Kuna mda kumbe ananiangalia.nami nkainua uso nakuja ananiangalia Tena wale wanaojiamini.
Ilibidi niendelee kuinama
Hahaaa ingekuwa tukio la karne🤣Ungeendelea kumwangalia jamaa angekula mate kimasihara
Ma mkwe, haukutamani kudendeka kweli.. 😂🤣Nimekumbuka nliwahi panda mwendokasi mda umeenda kidogo..nkapanda gari Iko full..mi na mkaka mmoja kanizidi kimo tukajikuta tumesimama eneo la karibu na mlangoni cm chache tunatazamana uso Kwa uso mweh!
Sexual harassment, hata Kama mi ndo wakili wako. Lazima niku chape makofi😂😆dar es salaam mna michezo mibaya
niliwahi kunyanyaswa kama wewe na mshangazi kule gongo la mboto
sema hili ni suala mtambuka sana utatuzi sio mrahisi, ila umefanya vyema kutoa elimu