Nahitaji msaada wa kisheria nahisi kunyanyaswa na mwanamke kwenye usafiri wa uma

Nahitaji msaada wa kisheria nahisi kunyanyaswa na mwanamke kwenye usafiri wa uma

Nimekumbuka nliwahi panda mwendokasi mda umeenda kidogo..nkapanda gari Iko full..mi na mkaka mmoja kanizidi kimo tukajikuta tumesimama eneo la karibu na mlangoni cm chache tunatazamana uso Kwa uso mweh!
Yes. Nakumbuka ile siku. Yule ni mimi. Habari za siku nyingi wee mdada??..
 
Mwendokasi unaraha yake unanuna wakati wa kuingia ila safari ikishaanza kuna vitimbi humo ndani mpk unasahau hasira ya kutopanda tena mwendokasi.......jaribu za mbezi jioni kutokea kkoo utafurahi mwanaume unatoka kazini smart unapakwa lipstick kwenye mwendokasi skilizia balaa lake🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwendokasi unaraha yake unanuna wakati wa kuingia ila safari ikishaanza kuna vitimbi humo ndani mpk unasahau hasira ya kutopanda tena mwendokasi.......jaribu za mbezi jioni kutokea kkoo utafurahi mwanaume unatoka kazini smart unapakwa lipstick kwenye mwendokasi skilizia balaa lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamwambia akadunge kwingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamwambia akadunge kwingine
Acha tu,kuna mdada juzijuzi kamng'ang'ania kaka wa watu mabegani mpk wakadondoka ile ameamka yule kaka kakunja ngumi anageuka aliemrukia ni mdada afu anatabasamu na kumuomba msamaha kimkakati ikabidi akaushe ila angekua mwanaume mwenzie angemkata makofi
 
Back
Top Bottom