Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

Mimi kabla sijatoa mchango naomba nitafsiriwe kwanza.
 
Mpigie
Pole sana. Nipigie nikupe maelezo zaidi ya kupata msaada wa kuondolewa matatizo yako 0655 775518
 
...Comrade Fereke, si ungeyaweka hayo wazi hapa ili wanaJF wenye Shida zao wafaidike? Ama wrote had I waje PM??
Weka mambo hadharani kaka tufaidike wengi, wasiokuwa na shida nayo watapita tu kaka....!
Ni kweli ndugu..ni vema kueleza humu ili kila mtu anufaike..natamani kufanya hivyo..nitaanda maelekezo maalum.Ingawa mie ni mgumu sana kuzungumzia mambo ya kiimani hadharani isipokuwa in private kwa mtu mwenye uhitaji hasa na hana alternative..maana imani kila mtu hu tafsiri kwa namna yake mwenyewe...ningeongea nae kwanza kwa muda mfupi tuu angetambua kumbe hivyo vinavyomsumbua ni vitakataka tuu havina nguvu kuzidi uamuzi rahisi tuu ambao angefanya..shetani ni mzushi..mwongo..mshenzi..mdanganyaji..anayependa kutisha na kutisha na kutisha mpaka uamini ana nguvu kubwa kumbe hamna kitu..ujanja wake ni mdogo sana.
Nimewahi mface huyo mkuu wao thats why siogopi hata chembe hivyo vitakataka vyake anavyovituma...
 
Hilo jini lako linapenda sana Kiinglishi.

Pole Mzee, ila hebu Jitahidi upate usingizi, ule vizur na utoe mawazo ya hayo majini, uone kama bado yapo.

Maana pengine ni jinsi ww unavyowaza na ndio unavyojisikia
 
Tushirikishe.
 
Kama majini na wachawi ndo sawa na hawa wa kwenye bongo movie basi usiogope hua hawako serious kwenye mambo yao. Watakuchezea tu mwisho watasepa wenyewe
 
wazungu ngoja wakusaidie mimi sielewi ulichoandika na sisi ambao hatujui kiingereza ndo tunamsaada wako.
 
Raha ya Mambo ya uchawi uchawi tutumie kiswahili,maana Gamboshi hiyo lugha uliyotumia hawaijui
 
kama huna imani kanisani jaribu kwa
dawa.

Nenda njombe kwa *Mwandulami* huyo mzee kasaidia wengi kwa tiba asili.
 
Wachawi wanaknloga wakati English iko tele kichwani?
Nalog off
Hahahaha wachawi wanaangalia lugha mkuu? πŸ˜‚ πŸ˜‚
No matter what you're, if you're targeted obviously you will be hit.
Jamaa achukue hatua tu vinginevyo Hawa wachawi wanarudisha sana nyuma watu kimaendeleo mpaka kimaradhi.
 
N
kama huna imani kanisani jaribu kwa
dawa.

Nenda njombe kwa *Mwandulami* huyo mzee kasaidia wengi kwa tiba asili.
Njombe sehemu gani? Au ukifika pale mjini ukimuulizia tu anajulikana?
 
Kwa hiyo Uliambiwa hao wachawi na Majini hawajui kingereza! Nina uhakika huu uzi wako wameshausoma jiandae...
majini hawajui chochote

niljaribu kuongea lugha isiyoijua, na vikaanza kuniiga, kazi yao kuiga. vinafyonza all your memories/knowledge na kutumia hivo kukusumbua. pia vinaongea tu vitu ninavyovijua, ni kama mwanafunzi asiyejua lolote shuleni kazi yake kuibia mawazo ya wengine. Hivo ndivo yao hufanya, au kulazimishwa cha kufanya na aliyevituma. pia kucopy bila kupenda, so nilitambua ni very simple invisible beings. kwa mfano niliwahi pigana na mtu fulani akaniumiza jicho. baada ya kupona jicho, vilikua vinarudia nilivokua nahisi katika macho yote, huku vikiclaim ni hivo vinafanya uchungu huo.

baada ya mimi kugundua yanategemea ubongo wa binadamu kupayuka, inakua rahisi kuvikanganya, ila shida ni kuviondoa tu. siku hizi, ikiewemo leo ni kutumwa viibe usingizi

anavosema Edward Teller kumhusu rafikiye ni kweli. wachungaji nashangaa kuwahusu sasa, kwani wakati walishindwa ilikua kama mockery yakisema sina hata mungu, hivi nishaanza kushuku kama vilikua vishahofia. other than that, madharau ninayoendelea kufanyiwa lazima nilipize kisasi, waganga wa hapa kenya walaghai ingawa wale wa kweli wengi kuliko matapeli huku kwenu.
 
Shetani ana kutisha tena una weza jinyonga. Mimi nilikua nahisi mikono ina tembea mwilini alafu ina bonyeza sehemu ya moyo basi moyo unaenda mbio sana na nahisi hofu ila nika jaribu ku ignore, swala ni kukosa usingizi tu ndo shida

kaka pia umetumiwa mapepo. huwa yanakuongelesha?
 
ok, cha kwanza nilichotambua ni vinategemea fear vitakataka hivi. na kama umetumiwa pia zitasoma fikira za walio around you, na vimfanyie ujanja ili kumtisha. pengine huyo pastor alikuwa naturally mwoga. vikijua hivi vinajipa nguvu sana, so nguvu yao ni kama hutokana na woga wako. wakati nilifanyiwa paralyzation mpaka ninaamka, vilikua vinapiga kelele ili nishtuliwe na both paralyzation na hizo kelele zao. kuna kitu specific nilkuwa ninaambiwa nifanye ili "niwachanwe" lakini nikakata na wala sikubabaishwa na kuteswa huko.

cha kushangaza ni kuwa viumbe hawa ni waoga sana. niliwahi kutembea usiku nikakutana na askari vilijaribu kunifanya nishtuke lakini nikajua huo haukua mshtuko wa kawaida kutokea rohoni mwangu.

lazima kuna kitu huyo mchungaji alifanyiwa au akaambiwa na mapepo aliyokuwa anatajaribu kukemea. vikikuongelesha for the first time, utashangaa vile vina sauti za uume/courage. ila ukizitambua vizuri, waweza hata kuzifanya zilie

problem kubwa imekua ni kufuata command ya aliyezituma. hiyo ni lazima zishinde zimefanya. ni kama zinakuanga very easy kushawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…