Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Hapana mkuu nataka nimpe assignment ni kitu kidogo tu anatakiwa afanye hapo ndo pa ku_gain confidence tena na vijana wenyewe wa sikuizi midomo mizito kama wamezinduka kutoka chumba cha upasuaji.Mzee baba una test mitambo mkuu?
swali lako la kimkakati sana.Wewe ni KE au ME
Soma hiki kitabu maybe kinaweza kukusaidia.Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Wewe unahangaika na kujiamini kwanini labda??Nahitaji kujiamini Mimi kama Mimi na sio kumtegemea mtu mwingine
Kama weww ni mkristo anza kufundisha watoto wa Sunday school. Ni njia iliyonisaidia mimi sana.Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Mambo mengine yamekaa kijinsia zaidi angekuwa ME ningemshauri atandike kwanza konyagi kabla ya kwenda mbele za watuswali lako la kimkakati sana.
Hujiamini kivipi? Katika maeneo/mazingira gani? Nyoosha kwanza maelezo.Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Shule za kata nilizofundisha zimenipa sana confidence alikuwa anakuja mzazi mtu mzima kabisa umri wa mzazi wangu lakini salamu ilikuwa mzazi habari yako karibu....naanza kumpa chai za hapa na pale za maendeleo ya mwanae anaelewa anapoza na ya soda na dogo litaanza kusoma tuitution mzazi alikuwa akija kwangu anapangwa mpaka ananipa kichwa cha tuition.Kama weww ni mkristo anza kufundisha watoto wa Sunday school. Ni njia iliyonisaidia mimi sana.
Nilikuwa naona rahisi kusimama mbele ya watoto kuongea lakini sio mbele ya watu wazima. Baada ya muda wa ku interact na watoto utashangaa automatically inakuwa rahisi hata kusimama na kuongea na umati wa watu wazima . Sasa hv confidence kama zote
Watu wa Arusha wengi wako kama wewe,ila wakipata pesa kuongea unasifiwa hata ukikohoa,tafuta pesaUmri 28 elimu degree naishi Arusha
Kwanza tambua hakuna mtu anajali kuhusu wewe, sasa wewe kwanini uwajali wao kuhusu wewe. Ukifika umri fulani utathibitisha hili.Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
naam nimekupata.Mambo mengine yamekaa kijinsia zaidi angekuwa ME ningemshauri atandike kwanza konyagi kabla ya kwenda mbele za watu
Sasa sbb ni KE ngojea nimuangalizie dozi yake
Blessed sana.Kwanza tambua hakuna mtu anajali kuhusu wewe, sasa wewe kwanini uwajali wao kuhusu wewe. Ukifika umri fulani utathibitisha hili.
Wekeza muda wako kikamilifu kufanya vitu unavyovipenda.
Epuka kampani ya watu wasiojali thamani yako, ni bora ukawa karibu na mbwa kuliko watu kama hao.
Usipende kuhesabu madhaifu yako badala yake anza kuhesabu baraka ulizo nazo haijalishi ukubwa wake.
Usijilinganishe na mtu, kila mmoja ni unique kwa namna yake.
Jiongeze thamani kwa kuongeza maarifa na ujuzi.
Usioneshe kutegemea mtu, jione kwamba wewe ndio unategemewa.
Chochote utachofanya, fanya kama mfalme lakini asiye na majivuno bali mnyenyekevu.
Point kubwa iliyobeba zote: Ishi sasa, usiishi kwa kuangalia mapungufu yako ya jana wala usiwe na hofu na kesho. Ukiweza hapa basi umemaliza kila kitu.
๐ ๐Interview unafanya lini๐ ๐ ??