Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Jiko Koa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2023
Posts
248
Reaction score
825
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba."

Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto na nimekosa utulivu hadi kwa mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda bali ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, na kufanya mapenzi.

Sababu zinazonifanya niumize kichwa ni kwamba;
1. Ni single mother halafu hakuniambia mapema

2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, jambo linalonifanya nidhani kwamba hana akili au future yeyote.

3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri.

4. Hanivutii hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili.

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa hatia itakayonisumbua muda mrefu.
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukafanya mapenzi

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Hanivutii, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
evrything has it's price
 
Achana na sura ya mama. Mtoto atatoka mzuri tu, so kuwa na amani.
 
Back
Top Bottom