Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Hakiki kwa vipimo kama kweli ipo ndio uje uombe ushauri wa nini cha kufanya.

Huenda anakupima imani au anatengeneza mazingira ya kupata kipato haramu kupitia mimba feki.
 
Unaenda dakika hamsini mzee,daa kweli ulikusudia vaa sura ya ukauzu siku moja mimba wapi na wapi amekuchora huyo
 
Pole sana... Hauwezi pia kujua nini kusudi la MUNGU... Unaweza ukaikataa mimba lakini kama kweli ni yako Bado utakua na connection nayo kiroho... Kwahyo ubaya wa huyo dada unauona Leo... Jaribu kumfikiria huyo pia ni binadamu na ataishi katika hari gani akiwa na mimba yako na wewe ukiwa umemkataa. Chukulia dada yako au ndugu yako ndio yupo ktk hari iyo
 
Watu wanaendelea kuzaa bila plans imagine mtu anapata taarifa za mimba anakuwa hivi huyo mtoto je atakuja kuwa na maisha gani,sometime msizae watoto wa kuja kuteseka tu
Kiukweli watoto wanateseka sana kisa tamaa za watu.
 
Stupid!hata mimi sitatamani kuzaa na mwanaume aina yako asiyejitambua mwanaume huwezi hata kumwaga nje,yaani me mjinga+ke mjinga matokeo ya ujinga wenu mtoto atateseka
 
Pole sana... Hauwezi pia kujua nini kusudi la MUNGU... Unaweza ukaikataa mimba lakini kama kweli ni yako Bado utakua na connection nayo kiroho... Kwahyo ubaya wa huyo dada unauona Leo... Jaribu kumfikiria huyo pia ni binadamu na ataishi katika hari gani akiwa na mimba yako na wewe ukiwa umemkataa. Chukulia dada yako au ndugu yako ndio yupo ktk hari iyo
Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri. Naona wengine wananipopoa tu
 
Hivi watu mnapataga wapi nguvu ya kukosoa uumbaji wa muumba!! hizo Sifa ngoja zimrudie bint yako one day and ushuhudie anavyobaguliwa ndio utajua mkuki kwa nguruwe...
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

azo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Sometime wanapenda kuzingua waone unavyorukaruka. Single mother wengi wajanja wajanja na wanajua matumizi ya sindano.
 
Kuwa makini isijekuwa unaandaliwa mazingira ya kupigwa.
Na ulivyopanick utapigwa kweli.
 
Back
Top Bottom