Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Lea mimba brother.
hebu fikiria ile starehe uliyopata wakati unapiga mshindo.
hebu fikiria ile starehe uliyopata wakati unapiga mshindo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umeambiwa nyege hujaelewa? wanaume hatunaga akili nyakati hizo"ana sura mbaya, rangi siipendi, hana shepu"
And you claim that she is not critical? .
. Logic Yako wewe iko wapi? ... sijaona reason yako Bado inayofanya uwe na mchecheto
We hebu tutake radhi we mtoto🤣🤣Sasa nitakua na akili timamu kweli kuomba ushauri jf?
Hasa mahusiano?
Jf ya sasa ni sawa na Soko la BUGURUNI
Sasa wewe umewahi hata kushauri mtu?We hebu tutake radhi we mtoto🤣🤣
Sasa kama uliziona hzi kasoro zote unazomtolea binadamu mwenzako ulilala nae wa nn aisee wanaume bna pambana na hali tu hakuna namnaKwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukafanya mapenzi
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Hanivutii, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Mie ushauri wangu kwani hujauona hapo juu🤣🤣🤣Sasa wewe umewahi hata kushauri mtu?
Mtu anaomba ushauri anaambiwa hebu tuma picha😂
Umewahi ona picha ya tatizo?
Mtu akifuata ushauri wako ajiandae kuzikwa😂Mie ushauri wangu kwani hujauona hapo juu🤣🤣🤣
Tumpe hongera baba kija kwanza. Akiwa wa kiume ataitwa Mpwayungu.Mtu akifuata ushauri wako ajiandae kuzikwa😂