Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Naahidi nikivuka hiki kipindi salama nitaacha ujinga
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukakafanya mapenzi

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Hanivutii, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Daaah!! Pole sana aisee.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Duh hapo kwenye single mother umeyakanyaga😅 mkuu kila la kheri
 
Ila wanaume khaaaa🙌🙌sasa ulifanyaa naye veepe mapenzii na hisia hazipoo?...Haki Tena mna pepo yenuu
 
Single Maza akibeba mimba hupaswi jilaumu au fadhaika, akikwambia ana mimba mwambie hongera.

Akiuliza una mpango gani mwambie kwani mtoto uliye naye ulikuwa na mpango gani?

Single maza ni viwanda vya watoto
 
Una dhambi sana,
jinsi ulivyomchambua hapo,Mungu atamsaidia atazaa mtoto wako wa kike ambaye atakopi kila kitu kwa mama yake,,,ndivyo wanaume wenzio watavyokuja muongelea binti yako hapo baadae....itakugharimu
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Ungetumia ndom au ungechukua sheria mkononi hayo yote yasingekukuta[emoji23]
 
Single Maza akibeba mimba hupaswi jilaumu au fadhaika, akikwambia ana mimba mwambie hongera.

Akiuliza una mpango gani mwambie kwani mtoto uliye naye ulikuwa na mpango gani?

Single maza ni viwanda vya watoto
This is great 🧢😅
 
Kwani ulituomba shauri wakati unazini nae ,nipe namba yake nikuokoe
 
Ila wanawake na sisi, unalalaje na mtu anaweza kukubad-mouth kiasi hiki?

Mimi hata tukiachana utanizungumzia vizuri tu either kwa kupenda au kutokupenda. Utabwabwaja weeee mwisho utaweka neno Ila……..

Nimemuonea huruma sana huyo dada, shida zinawafanya wanawake walale na kitu chochote 🥲
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Vijana mnakuwaje na wanawake wanao wazidi umri?

Ili ni fundisho kea wengine mkome

Mtafute mboso atakusaidia
 
Ilishawahi nikuta hiii,nilijilaumu mpaka nikahisi nina shida,baadae anakuja ananiambia

"nilikua nakutania bwanaaaa" nikashusha pumzi refu hapa na mjini kati,nikamuacha siku hiyo hiyo

na kuanzia miaka hiyo wanawake huniona NARINGA na ama hakika acha wanione hivyo ila nimeshasema

siwezi anzisha/koleza mazoea na mwanamke ambae likitokea la kutokea siwezi kuwa proud nae kama mke/mpenzi wangu.

Nikiona tu nimekutamani,na assume ndio tayari ushanipa mzigo ndio ushakua mama watoto "una kuja kuja" kama unakuja Basi naruhusu tamaa ziendelee,ila mitambo ikikataaa huwa najiambia "we mwanaume komaaa" acha tamaaa.

Niko makini mno mno eneo hilo staki kabisa umiza mtu au mtu aniumize au nijichape mwenyewe na kiboko kitakachoniumiza maisha yangu YOTE.
 
Nimemuonea huruma sana huyo dada, shida zinawafanya wanawake walale na kitu chochote
sio shida,wakati mwingine ni mapenzi ya kweli kabisa kwa mwanaume mwanamke anayo

shida ni kumbe mwanaume anamchukulia kama kipoozeo huku mwenzie kashapanga J2 kwenda

kutoa sadaka ya shukurani kwa kupewa mume bora,Handsome,nk kumbe upande wa pili mambo ni tofauti.

Unapopenda (ile ukweli ukweli achana na ya maigizo) huwezi jua wala kuona chochote,upofu upofu akili inakuja

kushtuka tayari unakaribia kujifungua na Ujauzito umeulea mwenyewe tangu day 1 up to 9month ndio akili inazibuka.

Ni kumuomba MUNGU tu akuepushie na asikupe moyo wa kupenda hivi,kuna watu ukiwapenda huwezi Jielewa tena yani.
 
Simlaumu jamaaa ila ngojea nikwambie kitu,Nyege hazijawahi tuacha salama wanaume

kuweza zi control nyege hauna tofauti na mtu mwenye phd ya maswala ya biashara na uchumi

lakini epuka sana kuanzisha mahusiano kisa tu una Nyege! Epuka sana hiyo,ni mbaya na ina matokeo mabaya sana.
 
sio shida,wakati mwingine ni mapenzi ya kweli kabisa kwa mwanaume mwanamke anayo

shida ni kumbe mwanaume anamchukulia kama kipoozeo huku mwenzie kashapanga J2 kwenda

kutoa sadaka ya shukurani kwa kupewa mume bora,Handsome,nk kumbe upande wa pili mambo ni tofauti.

Unapopenda (ile ukweli ukweli achana na ya maigizo) huwezi jua wala kuona chochote,upofu upofu akili inakuja

kushtuka tayari unakaribia kujifungua na Ujauzito umeulea mwenyewe tangu day 1 up to 9month ndio akili inazibuka.

Ni kumuomba MUNGU tu akuepushie na asikupe moyo wa kupenda hivi,kuna watu ukiwapenda huwezi Jielewa tena yani.
Nadhani tabia za uongo uongo pia ni tatizo, unadhani toka mwanzo angemtamkia haya aliyoyatamka hapa angempata huyo dada.

Binadamu tuache uongo uongo, uongo ni mzizi wa 80% za madhambi, maovu na matatizo yote.
 
Back
Top Bottom