Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Ni muda muafaka wa kujadiliana nae juu ya swala kupeleka mali kwao umuweke ndani
 
Nashindwa kuelewa alikojoaje na bado akaendelea kukeep namba yake afu leo anaongea vitu visivyoeleweke, hataki haya angeacha uzinzi mpka ampate yule ambae ni sent from heaven
Kuna wanaume wana wazimu sana, why hawapo selective? Hawajui kukataa?

No wonder haka Copa Cabana anadhani kila Ke hajuagi kusema no mbele ya hela.
 
90% ya komekti ni za kunipopoa[emoji17]
What kind of advice do you want bro? She was fine when you got horny halafu aaa hii uje na sababu ya kusema ni ana sura mbaya ... Motherhood is beyond one's physical appearance so let her carry your baby and you be a man as you're supposed to be.. Provide for her & pay her the attention she deserves .. weka utoto kando, infact waswahili husema utu uzima unakuja na majukumu na si Kwa ngoma..
 
What kind of advice do you want bro? She was fine when you got horny halafu saa hii uje na sababu ya kusema ni ana sura mbaya ... Motherhood is beyond one's physical appearance so let her carry your baby and you be a man as you're supposed to be.. Provide for her & pay her the attention she deserves .. weka utoto kando, infact waswahili husema utu uzima unakuja na majukumu na si Kwa ngoma..
 
Siku zote unavuna ulichopanda, hauna budi kutake responsibility, ishatokea hyo.
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukafanya mapenzi

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Hanivutii, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Beba hilo zigo lako ulilopewa na Mungu, unataka nani abebe na kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
 
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
punguza kupupulika na wanawake kijana fanya vitu vya maana kwanza wanawake wapo TU.
 
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"

Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.

Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukafanya mapenzi

Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Hana muonekanao unaonivutia na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri

4. Hanivutii, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.

5. Umri kanizidi miaka miwili

Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Umemuita ni MPENZI wako halafu unajidai kumkataa kispoti? Ninyi vijana sampuli yenu ni wa kutandikwa viboko vingi sana na kifungo miezi sita gerezani, mlo wa uji mara moja kwa siku na kupatiwa elimu ya kujitambua kwa lazima.
 
Umemuita ni MPENZI wako halafu unajidai kumkataa kispoti?Ninyi vijana sampuli yenu ni wa kutandikwa viboko vingi sana na kifungo miezi sita gerezani,mlo wa uji mara moja kwa siku na kupatiwa elimu ya kujitambua kwa lazimaSikuandi
Sikuandika hivyo. Mods wamehariri
 
Mimba day one?
inatokea ila chance ni ndogo ukilinganisha na status yake ulioisema huenda sio kweli ila anataka tu pesa
au alikuwa nayo then kafanya kujitegesha mimba ipate mlezi
Na kama ameipata Siku around ya mlizo kutana kimwil akikazia itakuw n ngumu sana kumkwepa au kukataa

by then partenity test n gharama, but if you can afford do it however nowadays they even cheat on this
Shda utakua ushalea mimba sasa
 
Sawa
Hii kama hadithi hivi
Ila kama ni kweli; Yaani ukutane na mwanamke ukiwa na hali uliyo isema mkubaliane; mpande gari muende hospitali kupima , Mrudi nyumbani mkubaliane kufanya halfau utudanganye kwa kazi yote hiyo mmefanya mara moja?
Ulishindwa nini kununua Condom ya miatano hadi upoteze muda kuzunguka kote huko hadi hospitali kama ulikuwa humpendi?
Nafikiri uache kudanganya watu unampenda na endelea naye kwanza huyo amekomaa mawazo atakuwa msaada sana kwako kuliko hawa wa mwendo kasi
Sawa, ahsante
 
Back
Top Bottom