Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.