Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia itakuwa sehemu salama sana ya kuishi ikiwa kil mtu atafanya hivi. Mwanaume wangu ana msemo wake kuwa “shahawa zake zinathamani sana hawezi zipeleka kila mahali” na hivyo hivyo wanawake wanamuonaga anaringaaaa!Ilishawahi nikuta hiii,nilijilaumu mpaka nikahisi nina shida,baadae anakuja ananiambia
"nilikua nakutania bwanaaaa" nikashusha pumzi refu hapa na mjini kati,nikamuacha siku hiyo hiyo
na kuanzia miaka hiyo wanawake huniona NARINGA na ama hakika acha wanione hivyo ila nimeshasema
siwezi anzisha/koleza mazoea na mwanamke ambae likitokea la kutokea siwezi kuwa proud nae kama mke/mpenzi wangu.
Nikiona tu nimekutamani,na assume ndio tayari ushanipa mzigo ndio ushakua mama watoto "una kuja kuja" kama unakuja Basi naruhusu tamaa ziendelee,ila mitambo ikikataaa huwa najiambia "we mwanaume komaaa" acha tamaaa.
Niko makini mno mno eneo hilo staki kabisa umiza mtu au mtu aniumize au nijichape mwenyewe na kiboko kitakachoniumiza maisha yangu YOTE.
ni kweli kabisa lakini hata mwanaume nae Upofu ulimpata,Nyege haziwezi kukuacha na milango yote ya fahamu inafanya kazi lazima kuna milango inakua disabled.Binadamu tuache uongo uongo, uongo ni mzizi wa 80% za madhambi, maovu na matatizo yote.
Mbinguni mtafika mkiwa hoiiiiii!ni kweli kabisa lakini hata mwanaume nae Upofu ulimpata,Nyege haziwezi kukuacha na milango yote ya fahamu inafanya kazi lazima kuna milango inakua disabled.
Mwanaume kilichompeleka kwa huyo mwanamke alihisi ni mrahisi/mwepesi hivyo ni sehemu ya uhakika yeye kutimiza malengo yake.
na wakati akianza mfukuzia,anakua hawazi haya aliyoandika hapa "anakua real kabisa" ila sio yeye ni NYEGEZI tu, baada yamatokeo ndio anarudi in his sense sasa! Mambo yashaharibika upande ule.
Tumeahidiwa miili mipya na tumeambiwa tutavishwa taji,wala hatujaliiiiiMbinguni mtafika mkiwa hoiiiiii!
Mtunze mtoto asiye na hatia.. mlindeni malaika asiyeweza kujitetea.. ni heri umuue mtu mzima ambaye kwa vyovyote vile ana dhambi kibao kuliko kumgusa huyo malaika.. watu wanaita eti Mimba badala ya unborn baby.. Ili kuhalalisha uovu na ukatili pale wakipata kisingizio. Kila mtu aliye hai ambaye aliwahi kuwa Mimba , akalindwa akazaliwa anapaswa kulinda uhai wa Mimba by any cost. Wewe ulikuwa Mimba pia ukatika salama tuache na tuwape nafasi wengine watendewe vivyo hivyo.Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Afadhali umefika duty komaa kdgo nikafanye patrol (naenda kupiga tu chabo)Lea mimba hio mkuu, kwan mwanzo hukuona hizo kasoro?
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Sasa utakuwa aje😔Muweke ndani keshakua mkeo.
Ukijitia Machi noo atakuendea kwamsisi na utakua hanithi. Nawajua wanawake flat screen, unamkosea yeye kwamsisi. Kibaya zaidi mlifanya Mara nyingi hivyo si ajabu anazo sperms zako kwenye kichupa just in case ukileta kujua.
Consider yourself a married man with a pregnant beautiful wife and one kid.
😆😆😅 wachaa wee mi najuaga kila Ke ni money talkKuna wanaume wana wazimu sana, why hawapo selective? Hawajui kukataa?
No wonder haka Copa Cabana anadhani kila Ke hajuagi kusema no mbele ya hela.
Oya katika wajinga ww ni mjinga wa kwanza usidharau sehemu ulipomwaga uchafu wako vijana wa skuhizi mmekua wangese sana mjue unawezaje kusema mtu anasura mbovu kama uliyaona hayo kwann nyege zikupelekeshe.Kwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Umeandika kama haupo seriousOya katika wajinga ww ni mjinga wa kwanza usidharau sehemu ulipomwaga uchafu wako vijana wa skuhizi mmekua wangese sana mjue unawezaje kusema mtu anasura mbovu kama uliyaona hayo kwann nyege zikupelekeshe.
Kiufupi ww ni mpumbavu alafu ikatae hiyo mimba uone laana zake. Ulishindwa kutuliza mbupu jiandae kua baba wa mtoto kwa mama usiempenda.
Umemchambua huyo mwanamke kama vile mama yako ni mzuri sana wakati sote tunajua baba yako alivumilia tu kama ww unavyotakiwa kuvumilia. Watoto wa masingo maza ndio mnakua na akili za kipumbavu sana ungekua na baba ww angekufundisha uanaume sio hio ushoga unaotuelezea hapa
Ukome [emoji1787][emoji1787]90% ya komekti ni za kunipopoa[emoji17]
Sasa unalialia nn uliyataka mwenyewe lea mimba dogo usikimbie majukumuKwa masikitiko makubwa, mchana huu Nimepokea taarifa ya "nahisi Ni mimba"
Ujuwe Nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa Kama hii lakini leo nahisi kichwa kimewaka Moto na nimekosa utulivu Hadi kwa Mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda Bali Ni nyege ndiyo zimenikutanisha naye for one night, tukapima UKIMWI, tukatomb***
Sababu zinazonifanya niumize kichwa Ni kwamba;
1. Ni single maza alafu hakuniambia mapema
2. Ana sura mbovu, rangi siipendi, Hana shape na muda wote niliokaa naye hajawahi kuwa na mazungumzo yenye tija au maswali critical, Jambo linalonifanya nidhani kwamba Hana akili au future yeyote.
3. Anapafahamu ninapofanyia kazi hivyo nikizingua anaweza kunichoea kwa muajiri
4. Kutokana na uwembamba wake uliokithiri, Hana ladha yeyote, naweza nikaenda dakika 50 bila kukojoa tukiwa kwenye tendo, Hadi nivute taswira ya mwanamke mwingine ndipo nikojoe.
5. Umri kanizidi miaka miwili
Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali. Ila kutoa mimba nahisi itakuwa Hatia itakayonisumbua muda mrefu.
Lea mimba acha utoto.Ni genye tu dadaangu. Naomba ushauri