Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

 
Nina mshkaji wangu yalimkuta haya[emoji23] nilishmktaza sana acha kuokota mademu wa ajabu ajabu hasikii.

Kaja kaokota mamantilie kapiga mimba paa[emoji1787] jamaa kalea mpaka kajifungua yule dem ,anamlipia kodi na matumizi ya mtoto sasa yule dem ana mdomo sana anajaribu kutumia nguvu nyingi ili yeye na mshakji waishi wote.

Dem anakuja ofsin kuleta ugomvi yaani ugomv wao ukianza huwa na kazi ya kuamua tu dem ni mkorofi balaa bas huwa zinapigwa ngum sio za kitoto yaan jamaa anajuta sna mpaka amekuwa ni wa kujitenga mawazo sana.

Wanaume tujiheshim sio kila mwanamke ni wa kumvua chupi
 
Asee hadi nimecheka hahahahhaa iyo ipo Sana inatutokea wadau
 
Lea tu mtoto wala usiogope halafu kingine jisimamie hatari
 
Subiri kulea mtoto bwashee
 
kama unaona ni mwembamba, siku akijifungua atanenepa, usiwaze
 
Sura uliyokuwa unaivuta ili ukojoe endelea kuivuta katika maisha yenu yote.
Huu mchezo wa kuwala mademu zetu kwa hisia za picha bila idhini UKOME
 
Halafu hapo anaenda kulaumiwa shetan wa watu buree.
 
Aaaaaahh shetani amepitaaaa....... ( in mbosso Khan & Costa tich voices.) Shetani audio...... πŸ™ƒπŸ˜
 
Baba Wawili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Starehe garama ndo garama zake izo sasa
Jiandae tu kua baba ndo uzuri wa kavu bila kusoma nyakati
 
dah! Ngumu kumesa🀣🀣🀣
 

uko sawa mkuu hata mimi nishawah kukutana na hali kama yako, aloo kumbe ananitania tu aisee nilipiga chin siku hiyo hiyo fala yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…