Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
habari zenu wazee wa kuweka mizigo

Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali

nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ?

nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
 
wadau msaada tafadhali kabla mechi haijaanza
 
Mkuu umeoteshwa nini??
Weka kibunda, sportbet, betpawa etc

Nani anashinda, ili nisiende banda umiza
 
YangaBet
 
Mkuu umeoteshwa nini??
Weka kibunda, sportbet, betpawa etc

Nani anashinda, ili nisiende banda umiza
Ni option zipi nachagua maana nilisikia ukibeti kawaida hawahesabi dakika za nyongeza na matuta
 
Sijakuelewa yaani unataka kubetia kwamba tiku itashinda hadi matuta?

Kwa option nyingi nyingi nenda 1xbet
Nataka nibeti ataeshinda mechi kwa matokeo yoyote yawe ya dakika 90, dakika za nyongeza, matuta, n.k.
 
Nataka nibeti ataeshinda mechi kwa matokeo yoyote yawe ya dakika 90, dakika za nyongeza, matuta, n.k.
Hiyo option sio rahisi kuipata options nyingi zimetengana either 90 minutes or victory by penalt shoot-out
 
Hivi wanaobet akili huwa wameshikiwa na nani?
 
Nataka nibeti ataeshinda mechi kwa matokeo yoyote yawe ya dakika 90, dakika za nyongeza, matuta, n.k.
Jaribu 1xbet au ingia kwenye ule uzi wa wakamalia utapata jibu la swali lako chap.

Ingia jukwaa la michezo, ukiscrol utaukuta "wale wazee wa kubeti tukutane hapa" sijalili heading yake ila iko namna hiyo ...
 
Jombi vipi game imeisha, tukusanye hayo maokoto. Au uliwapa kolowizard, ubaya uboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…