westandtogether
Senior Member
- Jul 8, 2020
- 164
- 242
jamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.Nipo hapa mkuu, mda wowote nicheki. Ndani ya siku 3 tu nakamilisha kazi yako nakukabidhi kampuni yako.
Kwa business names ni masaa 24 tu ya kazi.
Malipo ni baada ya kazi wakati nakukabidhi username na password yako na wewe unanipa changu.
0755963775 calls/WhatsApp
Haina lengo baya, maana nimempigia sijampata. Ila nimeweka taarifa hapa ili hata kama yupo mwingine basi naweza kufanya kazi hiyojamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.
Yani ni kutambiana tu.
tawileHaina lengo baya, maana nimempigia sijampata. Ila nimeweka taarifa hapa ili hata kama yupo mwingine basi naweza kufanya kazi hiyo
0755 963775tawile
Kwahyo saa saba mchana itakua tayal aujamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.
Yani ni kutambiana tu.
Haina lengo baya, maana nimempigia sijampata. Ila nimeweka taarifa hapa ili hata kama yupo mwingine basi naweza kufanya kazi hiyojamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.
Yani ni kutambiana tu.
Mkuu mimi ndiye nakwambia kuwa ndani ya siku 3 (TATU) ninakupa kampuni yako. Nipe kazi na ikishindika uje hapa. Niwie radhi nilikua nje ya mji kidogo simu yangu ilizima chaji. Nimerudi hewani.Cku tatu kampuni sio kweli. Ingekua busness name sawa.
Mkuu nimekuchek kwa 0755963775 nadhan upo mbali na sim
Ubarikiwe kwa kupitia,Umepita kwenda wapi mkuu
Wekeni gharama zinakuwaje wahusika hapa jamvini .Habari wanaJF?
Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo kuandaa documents za memorandum of the company and articles of association, integrity pledge form and consolidated form.
tunaweza wasiliana kwa namb 0711633656/0683263330
Wekeni gharama zinakuwaje wahusika hapa jamvini .
Vipi kuanzisha organization ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na maradhi mtambuka?
Hii makadirio ya kodi unafanya how muchHabari,
nimepita
50,000 maongezi yapo kutegemea na halihalisiHii makadirio ya kodi unafanya how much