westandtogether
Senior Member
- Jul 8, 2020
- 164
- 242
Habari wanaJF?
Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo kuandaa documents za memorandum of the company and articles of association, integrity pledge form and consolidated form.
tunaweza wasiliana kwa namb 0711633656/0683263330