Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

westandtogether

Senior Member
Joined
Jul 8, 2020
Posts
164
Reaction score
242
Habari wanaJF?

Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo kuandaa documents za memorandum of the company and articles of association, integrity pledge form and consolidated form.

tunaweza wasiliana kwa namb 0711633656/0683263330
 
Nipo hapa mkuu, mda wowote nicheki. Ndani ya siku 3 tu nakamilisha kazi yako nakukabidhi kampuni yako.
Kwa business names ni masaa 24 tu ya kazi.

Malipo ni baada ya kazi wakati nakukabidhi username na password yako na wewe unanipa changu.

0755963775 calls/WhatsApp
 
jamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.
Yani ni kutambiana tu.
 
Cku tatu kampuni sio kweli. Ingekua busness name sawa.

Mkuu nimekuchek kwa 0755963775 nadhan upo mbali na sim
 
jamaa kaweka namba na wewe umeweka namba.
Yani ni kutambiana tu.
Haina lengo baya, maana nimempigia sijampata. Ila nimeweka taarifa hapa ili hata kama yupo mwingine basi naweza kufanya kazi hiyo
Cku tatu kampuni sio kweli. Ingekua busness name sawa.

Mkuu nimekuchek kwa 0755963775 nadhan upo mbali na sim
Mkuu mimi ndiye nakwambia kuwa ndani ya siku 3 (TATU) ninakupa kampuni yako. Nipe kazi na ikishindika uje hapa. Niwie radhi nilikua nje ya mji kidogo simu yangu ilizima chaji. Nimerudi hewani.
 
IMG_5556.jpg

Kwa huduma zote za BRELA Karibu ‘GAGRO’S Stationery & Legal services’ Tukuhudumie.

Tunapatikana Mikocheni A’ karibu na Kairuki Hospital.
 
Habari,
nimepita
 
Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 11
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 11
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 11
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 10
Habari wanaJF?

Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo kuandaa documents za memorandum of the company and articles of association, integrity pledge form and consolidated form.

tunaweza wasiliana kwa namb 0711633656/0683263330
Wekeni gharama zinakuwaje wahusika hapa jamvini .

Vipi kuanzisha organization ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na maradhi mtambuka?
 
ntakupa garama za serikarli hapa chap;
garama za consultation zinategemea na mambo kadha wa kadha kwa hiyo sio rahisi tu kusema ni kiasi fulani

USAJILI WA KAMPUNI- LIMITED

VIWANGO-Share Capital
(Mtaji) & Garama ZA Brela

Share Capital
(Mtaji) 20,000 - 1M, Garama ZA Brela - TSHS 169,200,

Share Capital (Mtaji) 1M+ - 5M, Garama ZA Brela - TSHS 247,200,

Share Capital (Mtaji) 5M+ - 20M, Garama ZA Brela - TSHS 332,200,

Share Capital (Mtaji) 20M+ - 50M, Garama ZA Brela - TSHS 362,200,

Share Capital (Mtaji) 50M +, Garama ZA Brela – TSHS 512,200,

na garama za kusajili Jina la biashara ni Tsh 20,000 -garama za Brela (serikali)

Wekeni gharama zinakuwaje wahusika hapa jamvini .

Vipi kuanzisha organization ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na maradhi mtambuka?
 
Back
Top Bottom