Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,google ujue kama mgumba anaweza beba mimba(mleta mada ana uwezo wa kubeba mimba)

Usikejeli wasiohusika
Kwa umri wako nahc ushajuwakuwa wewe ni mgumba
 
Hizi mada za kutafuta mchumba, Mme/Mke, wa kuzaa naye na mengineyo yafananayo na hayo mbona I'd zake zote huwa mpya kabisa?!
 
Unamaanisha unataka kuwa surrogate mother....?i'll pay,PM,shart mtoto nitamchukua akifikisha miaka 2...
 
Lengo lako nini?
 
Surrogate mother bongo???
 
Hata sijaelewa akili yako..

Jpm legeza baba kizazi kinaangamia huku uraiani
 
Hivi haitafika siku ukammiss, kumkumbuka mtoto wako uliyemtunza tumboni mwako kwa miezi 9 na kumzaa kwa uchungu? Kweli?
 
tuongeee
 
Atakuwaje mtoto wa damu yao wakati umemzaa wewe, please tuweke sawa hapo ili wenye uhitaji tukuelewe vyema
hii inaitwa surrogate mother, anachofanya huyo dada ni ku-rent womb tu fertilization inakuwa ni kwa yule baba na mama ambao wameshindwa kupata ujauzito kwa sababu mwanamke uterus yake ina shida.

Kitaalamu, wana artificial fertilization kwa wale wanandoa then wanaenda kupandikiza zygote kwa huyu dada yetu wakati wa yeye kuweza kubeba mimba ili uterus yake itumike kama sehemu ya kukuzia hiyo mimba.

Kwahiyo, mtoto atakuwa wa damu yao sema tu kazaliwa na mtu mwingine genetically atakuwa na genes za wazazi wake

Hii sayansi ipo na inafanyika kwenye nchi zilizo endelea sana kwenye medical field. Kwa mtanzania anaweza fanya kwa kwenda huko ila itabidi akae huko zaidi ya mwezi ( kufanya artificial fertilization ya wazazi waliyokosa mtoto na kuweza kupandikiza ) hapo gharama inakuwa kubwa bado na charges za hospital.

Hongera sana dada ila unatakiwa uwe na moyo kweli usije katalia mtoto tu hahahahahah
 
njaaaaaa inaleta Idea mbali mbali sana,wakupe sh ngapi kwa kazi hiyo
 
Niko tayari ni PM
 
Niko tayari ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…