Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Umefanya vyema. Ninawashauri hasa wale wasio na elimu ya kutosha angalau basi mjue kiingereza. Hii ni lugha ya hela. Ukikijua vizuri kina msaada sana.
Acha utumwa MJINGA PIGA wewe πŸ˜‚

Pesa ya nyoko! Kuna watu wanafanya kazi saloon ya kike wanafanyia wadada pedicure na manicure... elimu hawana zaidi ya huo ujuzi na wanapata rizq ya kila siku na mishahara ya laki saba na laki nane mwisho wa mwezi. Nenda Saloon classy kaulize. Fursa zipo acha utumwa!
 
Hakuna mwalimu mzuri wa kiingereza cha kuongea kama movies, series na maudhui yote yanayotumia kiingereza.

Kwa kiingereza cha kuandika na kusoma basi pendelea mno kusoma novels, magazines na maandiko yote ya kiingereza.
Hata vikaratasi vya kwenye dawa wewe soma tu.
 
Yuko vizuri sana, alianza kuongeleshwa Kiingereza, toka anajua neno la kwanza. So ni kama lugha yake. Hata uumuulize neno gani gumu anajibu. Wenzake wanamwita Dictionary. Naantombe Mushi
Ukijua Vocabularies, thesaurus na Synonims za kiingereza na lugha yoyote ile duniani utakuwa mwandishi, mwalimu na mzungumzaji mzuri kupita maelezo!

Hiyo uliyoitoa sio sababu.
 
Am out men
 
Ukijua Vocabularies, thesaurus na Synonims za kiingereza na lugha yoyote ile duniani utakuwa mwandishi, mwalimu na mzungumzaji mzuri kupita maelezo!

Hiyo uliyoitoa sio sababu.
Vyote yuko kamili. Siwezi andika kila kitu hapa. Mpka mtu wa home ajue ni mimi. Wengine huwa wnapitia kusoma. Sema mambo ya mtandao, na ni mtoto, lah ningekuunganisha naye ungesema mwenyewe.
Karibu umwagilie moyo Mkuu πŸ₯‚
 
Situmii hayo mambo mwanamama... labda ndugu yangu Bazazi na Mzee wa kupambania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…