Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Nimeamua nikupuuze kwasababu inaonekana ni mtu aliyekata tamaa.
 
Na uache kutumia majina makubwa kutafuta status au dhana kubwa nzurinzuri vichwani mwa watu zidi yako TAPELI MJINGA PIGA WEWE! MamaSamia2025
 
Mm nipo hapaa
 
Na uache kutumia majina makubwa kutafuta status au dhana kubwa nzurinzuri vichwani mwa watuzidi yako TAPELI MJINGA PIGA WEWE! MamaSamia2025
Pambana angalau uwe na uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku.... Pia nakuombea uweze kuwa na akili za kuishi katika hali inayoweza kukuepusha na magonjwa kama kipindupindu na amoeba. Sema AMEN
 
Pambana angalau uwe na uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku.... Pia nakuombea uweze kuwa na akili za kuishi katika hali inayoweza kukuepusha na magonjwa kama kipindupindu na amoeba. Sema AMEN

WE HUJIELEWI WEWE... KWAHIYO UNAIGIZA WEWE NI MHESHIMIWA RAIS?! πŸ˜€

WE UNAFKIRI WALE WANA MUDA NA ARGUMENTS AU MUDA WA KUPOTEZA HUMU MITANDAONI?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…

UMASIKINI UNAKUSUMBUA WEWE... NISIJE KULIMWA BAN BURE!
 
Usipoteze muda na amani ya moyo kutaka kuiga na kuishi maisha ya wengine... ungesoma kwa bidii na kupanga karata zako vyema. Bila shaka ungefikia huko walipo wao leo hii. Maisha ya kuigaiga na ku-fake kutafuta status mitandaoni yatakupa misongo ya mawazo ufe we KILAZA!

BE REAL! MamaSamia2025 TAPELI MJINGA PIGA WEWE! 😏😏😏
 
WE HUJIELEWI WEWE... KWAHIYO UNAIGIZA WEWE NI MHESHIMIWA RAIS?! πŸ˜€

WE UNAFKIRI WALE WANA MUDA NA ARGUMENTS AU MUDA WA KUPOTEZA HUMU MITANDAONI?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…

UMASIKINI UNAKUSUMBUA WEWE... NISIJE KULIMWA BAN BURE!
Username MamaSamia2025 haina maana kwamba ndo Mama Samia mwenyewe. Shuleni ulienda kusomea upumbavu?
 
Username MamaSamia2025 haina maana kwamba ndo Mama Samia mwenyewe. Shuleni ulienda kusomea upumbavu?
Na katu siwezi kudhania wewe ni Mama samia wala kuogopa. Wale hawana muda na UPUMBAVU!

WACHA KUJIKWEZA NA KUJIONA MATAWI MJINGA PIGA WEWE! HATUJUANI... ID ZISIKUDANGANYE. MIMI SI-FAKE NA KWELI BY-NATURE MIMI NI HOHEHAHE KWANINI NIFICHE?! LAKINI NILIJITAMBUA NA KUBADILI HALI YA MAISHA BINAFSI NA FAMILIA ILA NILIYOWAHI KUPITIA NI KOVU NA HAYASAHULIKI. NDO CHANZO CHA JINA LANGU. SASA WEWE ENDELEA KU-FAKE NA KUPIGA MIKWARA WATU MITANDAONI KWA MANENO YA KEJELI NA DHARAU KUTAFUTA SYMPATHY MITANDAONI. UKIZIMA DATA SHIDA ZIKO PALEPALE.

AMKA KALAGABAHO πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hapa JF hatujuani na wala hatutaki kujuana kwahiyo punguza hasira isiyokuwa na ulazima.
 
Even me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
Kumbe ulikuwa unatufanya majuha🀣🀣
 
Njia nzuri na rahisi.
Download App ya Clubhouse, kule kuna classes nyingi za English na mnakutana na watu wa mataifa mbalimbali.
Unaweza kutumia iyo opportunity coz kuna hadi walimu wanaopenda kufundisha tena hata bila ya gharama yoyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…