Nahitaji mume aliye serious na maisha

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mpendwa
 
Mimi niko serious lakini vigezo ulivyoviweka vinanitoa kwenye ulingo.
Nimeikosa hii bahati.
 
Weka no,hapa sasa nikose jiko kwakua pm sipajui weka no, hapa hapa tuyajenge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aniache Kwanza [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
sijataka amini kuwa we ndo unamtafuta serious hb😁😁😁😁
 
Wanaume tumegoma kuoa bhana hatutaki stress...Kama show show labda ndo tukufikirie
 
Mwenzio wa Musoma alipost jana kutafuta mchumba akasema anatafuta mke..kigezo awe na bikra. Hujauona uzi au kigezo husika huna?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu ana wachukua shule za washichana kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…