Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

Maono yako sio mabaya, pia unaitumia akili vizuri sanaaaaa HONGERAAAA yako dada INAPENDEZA. Ila itumie pia hiyo akili kwa upande zaidi kwenye kutafakari na kusoma vitabu vyote venye kukuongoza kuzijua Dini zote nakukumbusha tuu kama mwanaadamu mwenzako.[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mpendwa
 
Mimi niko serious lakini vigezo ulivyoviweka vinanitoa kwenye ulingo.
Nimeikosa hii bahati.
 
Weka no,hapa sasa nikose jiko kwakua pm sipajui weka no, hapa hapa tuyajenge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aniache Kwanza [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
sijataka amini kuwa we ndo unamtafuta serious hb😁😁😁😁
 
Wanaume tumegoma kuoa bhana hatutaki stress...Kama show show labda ndo tukufikirie
 
Mwenzio wa Musoma alipost jana kutafuta mchumba akasema anatafuta mke..kigezo awe na bikra. Hujauona uzi au kigezo husika huna?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu ana wachukua shule za washichana kule
 
Back
Top Bottom