jadit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2019
- 273
- 212
- Thread starter
- #41
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] mpendwaMaono yako sio mabaya, pia unaitumia akili vizuri sanaaaaa HONGERAAAA yako dada INAPENDEZA. Ila itumie pia hiyo akili kwa upande zaidi kwenye kutafakari na kusoma vitabu vyote venye kukuongoza kuzijua Dini zote nakukumbusha tuu kama mwanaadamu mwenzako.[emoji848][emoji848][emoji848]