Nahitaji mume aliye serious na ndoa na kupata watoto

Yani wengine walipewa kiulaini......anae taka jumla anapewa vipengele..!!!duuuh.
 
So mm ulininyima cz ulidhani sio muoaji?!

Salaleee...yamekuwa hayo
Af acha utani hujawahi kuniomba...ungeniomba wewe ningekupa spesho ofa 

Wote wanaoolewa wana mapenzi?!

Ndio maana pale juu nimesema siwasemei wengine ni mtazamo wangu binafsi...kwangu mimi ni ndio
 
Ndio maana pale juu nimesema siwasemei wengine ni mtazamo wangu binafsi...kwangu mimi ni ndio
Unajisahaulisha tu....we used to av steamy convo nilikupenda sn mtt ww ila ulikuwa una mapozi
 
Unajisahaulisha tu....we used to av steamy convo nilikupenda sn mtt ww ila ulikuwa una mapozi
[emoji85] [emoji85] [emoji85] you are embarassing me. Watu wakiona kwamba nlikunyima kitu nlichopewa bure si watanishangaa sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…