Nahitaji mume mwema jamani

mimi nina watoto watatu ila nahitaji mke msikivu ;mwema mwenye upendo wa kweli halafu naomba jibu.
 
unataka uolewe ili iweje si ubaki hivyohivyo tu kwani kutakua na shida gani?
 
I am in my early twenties, in my most fertile period of my life mayai hayana tatizo. Una uhakika Natafuta mume jf pekee? Ndo maana nimeandika kama una sifa ya kuja kuwa mume mwema ndo unijibu.

so here is my impression of you: a "woman" in her early twenties, beautiful i suppose, just about to graduate (if not yet a graduate), and most importantly... fertile (don't know how you came to such a conclusion,,, ama kuna vitu "unaficha"??)
considering vyote nilivyosema hapo juu, there must be something odd and fishy about you coz.you don't fit ktk criteria za kugangaa njaa kwa social forums kutafuta mume!! binti mbichi kabisa, are you invisible?? utatafunwa,, hhee!!
 
jamani kama huna imani nami sikulazimishi
 
Nina heshima, sipigi ahata vizuri achilia hiyo ovyo, achilia kupenda najua hata mapenzi, achilia kuoa utakuwa wa kufa na kuzikana, sijaoa kama hao unaowaona sina hata wakusingiziwa, ila sijui kama ntakupenda maana nami napenda nipate mke mwema, awe msafi,awe na heshima,afya yake isiwe mgogoro,aweze kazi zote kiujumla(kitandani +za ndani),asiwe tegemezi wa mawazo, mrembo, umri nimzidi hata mwaka mmoja, elimu kuanzia kidato cha nne mwenye good future au present! Kama una hizo sifa niprivate! nje na hapo usisumbuke!
 
kama hujui kama utanipenda basi acha mana hata biblia inasema enyi Waume wapendeni wake zenu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…