Ooho mai god sister!! Umepotea njia hum hakuna mume mwema sister.watakutenda na kukuchafua vibaya sana .hum kuna wapenda chup tupu.wakishakuvua chup shughuli inakwisha kabisaaa mutu ya mungu .mume mwema utoka kwa bwana
Mungu yupo bize sana kuna watu wanapumulia mashine, wengine wana njaa hawajui wale nn, wengine vilio vya kazi n.k anajaribu kuwajibu kila mmoja kwa wakati wake, kama vipi asubiri, siyo apige goti atarajie kesho
humu huwezi kumpata mume mwaminifu,wachambue mabwana zako wote wa zamani na uliyempenda au tafuta bwana mwengine mpya hapo unakoishi/kufanya kazi na muombe akuoe.msikilize mwenzio hapa:::http://www.hulkshare.com/mashi/shakira-rabi-mapenzi
Nalog off