Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna namna ya kuwatumia.1970 si bibi yangu kabisa huyu jamani🤒🤒🤒
Hahahah😂😂😂😂😂😂😦Sitaki kucheza na wewe.
Tena usije tena kwetu.
Brother hapa kwa hivi watafuta kupigwa na kitu kizito au 😂😂Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.
Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba zangu umpe.
Vigezo. Awe na shepu mzuri sanasana awe na kalio kubwa sipendi vibibi vimodo.
Pia awe na uwezo wa kuja nilipo nauli nitamtua sipendi matapeli.
Pesa iko ya kutosha mkoa wowote.
Mimi.
Nina 28 year ni mfupi mweusi.
Vigezo zaidi pichani.
🤣🤣pia hata wewe ndugu msomaji mwanajamvi mwenzangu unaweza nisaidia pia, kama unamuonaona mmama yupo tu mtaani na hana tabu fanya kwa kuniibia namba zake nitumie PM nitatililika mwenyewe. Na sitakutaja nitakuja kukushukuru baadae.🤣🤣👋🙏
Wee cheka ila ndio nishasema sitaki urafiki na wewe.Hahahah😂😂😂😂😂😂😦
NshazoeaBrother apa kwa ivi watafuta kupigwa na kitu kizito au 😂😂
Mmmmh 😐😐Kuna namna ya kuwatumia.
Aaaaah kumbe we mzoefu kaaa kwa kutuliaNshazoea
☀️Mmmmh 😐😐
Wewe ni comedian 😅Sitaki kucheza na wewe.
Tena usije tena kwetu.
🚪🧘Aaaaah kumbe we mzoefu kaaa kwa kutulia
Wewe unachokitafuta ni kurogwa sasa🤦♀😃😃🤦♀️☀️
🛖🤸🤸
Jamani sio utani nataka kweli.Wewe ni comedian 😅
Kuwa mpole ,watafika mpeane mahaba.Jamani sio utani nataka kweli.
😶🌫️
Uku lipo lishangazi
nipe namba PM mzee🙏🙏Uku lipo lishangazi
🏃💨Duh mkuu hii mizigo mbona mikubwa sana, tafuteni kwa kiasi chenu