Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi puuziKulelewa tu, hamna linguine.
Akiwa mahirikina atasema yeye ni mshirikina?
Ukipata wengi mkuu,nipostie mmoja nitakuja kukushukuru!Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo dhehebu lolote
Awe na shughuli Hali.
Awe na angalau elimu ya kidato Cha nne.
Asiwe mvuta bangia au madawa la kulevya
Asiwe mama lishe.
Asiwe mshirikina.
Kama mtu atakuwa ananihitaji aje inbox
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo dhehebu lolote
Awe na shughuli Hali.
Awe na angalau elimu ya kidato Cha nne.
Asiwe mvuta bangia au madawa la kulevya
Asiwe mama lishe.
Asiwe mshirikina.
Kama mtu atakuwa ananihitaji aje inbox
Wapuuzi puuzi
Hawa wanatisha aseee
We usiwape moyoWamama wa JF mmefikiwa , changamkieni fursa