Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Mh hapo tu kwenye angalizo....
 
Ama kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
Mbavu zangu miye[emoji23] [emoji23]
 
Sasa naona imekaa kishari Shari. Mi naona ungeweka kigezo kimoja tu ambacho ni MTU anayekupenda nawe ukampenda. Unaweza kuta hiyo 30 hadi 37 wote wameshaoa. So umri uwe wowote na dini yoyote unaweza kumpata wa hali yako
Asante kwa ushauri
 
Vigezo vyote nnavyo na ziada,.
Lakini nilitaka kujua chura yumo?
 
Utaumiza roho yako bure kwa kutafuta mume mwenye dini kama yako. Mwanamke hana dini. Soma Wakorintho wa kwanza sura ya tisa..
Mkuu icho kitabu wameandika mwanamke hana dini?
 
Me nahitaji mke nina miaka 44 navuta sigara Halafu napenda kushiriki tendo la ndoa kila baada ya masaa 6. Utaniweza [emoji23] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…