Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa

Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara

Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..

Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.

Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Mh hapo tu kwenye angalizo....
 
Ama kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
Mbavu zangu miye[emoji23] [emoji23]
 
Sasa naona imekaa kishari Shari. Mi naona ungeweka kigezo kimoja tu ambacho ni MTU anayekupenda nawe ukampenda. Unaweza kuta hiyo 30 hadi 37 wote wameshaoa. So umri uwe wowote na dini yoyote unaweza kumpata wa hali yako
Asante kwa ushauri
 
Vigezo vyote nnavyo na ziada,.
Lakini nilitaka kujua chura yumo?
 
Back
Top Bottom