Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Sifa kubwa uwe mkristo....Mimi sifa zote ninazo Ila ni 50yrs. Vipi nije?
Haya mengine ni mapambo tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kubwa uwe mkristo....Mimi sifa zote ninazo Ila ni 50yrs. Vipi nije?
Siyo choice vipi wakati wewe mwenyewe ni mfupi?Sijawabagua ila siyo choice yangu
Huyo mtt anatafutaje mwanaume sasa?Hiyo kwenye dp
Samahan sijaweka bandiko la kutangaza injili..that's y nkasema ukiona halikuhusu upite kimya kimyaYaani watu wanapenda kujjita wakristo ili kukwepa ndoa ya uke wenza. Wakati wake wanne kwenye biblia imeruhusiwa. Ukitaka ligi ya maandiko sema nilianzishe.
Uliyekula naye ujana yuko wapi, mpk uje kunipumzikia na uzee wako???? Eti umri wa kuwa na familia umefika au umetumika sasa depreciation iko juu ndiyo utafutakivuli.Kuwa mfupi sio ulemavu so haimanishi kuwa nishindwe kuchagua yule nimtakaye
Mmhh! Kumbe mpare eeh..!Aisee kumbe bado wanaume hawajakuona mpaka sasa? Vipi umeshaenda upareni kusherehekea sikuku tayari?
Mm nlitaka kuona picha nione ulivyo lkn naona haupo seriousNokia n nn lakn
Karibu sana..!Asante pia