Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise sintokua moja ya wapumbavu wa kubishania DINI na kudhihaki DINI au maandiko matakatifu ..nikuache tu, kwanza wewe inaonesha una dharau na unadharau imani za watu, huko uliko hakuna wanawake wa kiislamu ujichagulie hadi uje umdhihaki mleta mada na imani yake? Mwanamke wa aina hii hutomweza kwa sababu ana msimamo,Aliyedhihaki dini nani? Kwanza unaweza kunitolea andiko kwenye biblia ukristo ni dini?
Acha matusi wewe. Ukitaka kujifunza lazima uwe mvumilivu....Nasema hivi,onesha huo mstari unaosema kwamba imeandikwa tuwe na wake wanne
Hahqhahaahhaha ona sasa unavyojiabisha na kujionesha kua wewe ni nani haswa ...eti na wewe unataka kua mume wa mtu ? Labda kwa manunga embe aise...lakini ladies ambao upstairs kupo vizuri huwawezi aise ndo kama hivi una jazba na kutukana ovyo haahaaha poleAcha jazba. Ndio maana wakristo mko shallow kwenye maandiko maana mna matusi badala ya kujifunza. Sasa unani attack bila sababu yoyote. Pumbavu mwenyewe shenzy mbwa....!
Hahahahahaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha matusi wewe. Ukitaka kujifunza lazima uwe mvumilivu....
Kwani hujui mambo yote machafu yamo kwenye biblia? Huna habari? Kwa taarifa mchawi wa kwanza duniani alikuwa mkristo....ugaidi mkubwa kuwahi kupata kutokea umefanywa na mkristo.....
Mtu aliyeoa wanawake wengi kuliko binadamu wote ametajwa kwenye biblia....
Nabii muuaji kuliko wote duniani ametajwa kwenye biblia na leo hii watu wanamtukuza sana....
Malaya na wazinzi wote ni waktisto....
Maandiko yako wazi......
Sasa nakushangaa andiko la wake wanne linakupanikisha mpaka unamwaga mitusi...
Hayo mauchafu mwngine yaliyofanywa na wakristo huyaoni kwenye biblia? Huwa unaisomaje?
We vipi? Soma maandiko acha hasira...
Pumbafu mwenyewe...tena mbwa kabisa zezeta wewe....hujui kitu...wala biblia huijui bwege wewe....Aise sintokua moja ya wapumbavu wa kubishania DINI na kudhihaki DINI au maandiko matakatifu ..nikuache tu, kwanza wewe inaonesha una dharau na unadharau imani za watu, huko uliko hakuna wanawake wa kiislamu ujichagulie hadi uje umdhihaki mleta mada na imani yake? Mwanamke wa aina hii hutomweza kwa sababu ana msimamo,
ungeonekana wa maana sana kama ungemuuliza kistaarabu kua kama kuna uwezekano wa kubadilisha dini yake lakini umekuja kwa kejeli na dharau na zaid unadharau na kukejeli imani za watu, sasa kwanini nskuite mpumbavu? Hujui kusoma masharti na vigezo?! Sasa unataka ligi ya kubishania dini ..siwezi aise tafuta wehu wa kule mtaani ndo ubishanie nao dini
Toa andiko ukristo ni dini. Hilo andiko hutalipata....Hahqhahaahhaha ona sasa unavyojiabisha na kujionesha kua wewe ni nani haswa ...eti na wewe unataka kua mume wa mtu ? Labda kwa manunga embe aise...lakini ladies ambao upstairs kupo vizuri huwawezi aise ndo kama hivi una jazba na kutukana ovyo haahaaha pole
Nani kakubagua? Mlete hapaSie wafupi tunabaguliwa sana [emoji38][emoji38]
Siyo kweli. Ni lazima atakuwa mzuri sana semaAma kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
Pm ukienda huwa hawajibu hawa. Kuna ka utapeli fulani kanaendelea....Nashangaa sana mnaokejeli wakati kuna watu washaleta mirejesho ya kuoana kutoka humu Jf. Acheni ujinga huo. Hata mie ningekuwa sijaoa ningeenda Pm
Ofcoz siunajua mungu anasema zaeni matunda mema. Lkn sasa miaka 28!!??Na watoto 4 juu....
Kiukweli ndoa binti miaka 18 tamu sana hata uwezekano wa kukutana na uzio ni mkubwaTena wa kwanza darasa la 5+ muda huo
Yaani ana miaka 28 we ndio unata urafiki. Mpaka amuoe si atakuwa ashafika menopause?Nimekupm Nataka uwe Rafiki kwanza kabla ya kuwa mke.