Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kila la kheri.Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
Ningekuwa muslim, ningekuoa mke wa 2