Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
TuliaaaaWaoaji mnaitwa huku, kuna Fursa kwa ajiri yenu.
Subiri wanakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TuliaaaaWaoaji mnaitwa huku, kuna Fursa kwa ajiri yenu.
Subiri wanakuja.
Punga wewe na familia yako mnaokuja kilasiku kuniomba niwakojoleeMambo mengine acha ujuaji wa kipunga.
Kama upumbav basi acha kushika ukuta vaa uende kama unaumiaThis is very unfair na utoto wa hali ya juu Sana Sana! Unawezaje kuandika upumbavu kama huu? Shame on you
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
Khaaa asee we jamaa mbona sio mstaarabu?Ushakunywa p2 zimekuchosha... Umetoa mimba hadi kizazi kimelegea... Umekesha bar na pombe na shisha umevuta... Miaka 29 umeona umeaga mashindano umeingia ktk ushangazi tena ushangazi wa kichaga 💩🤣 unataka mwanaume...
Weee shangaz wee embu kuwa serious basi, cha muhimu kwa sasa subiri kuzalishwa utelekezwe ukae nyumban kwenu kishumundu uongeze idadi ya singo maza, uishie kuita wanaume wote mbwa 🤣💩🤣
Halafu najua utakuwa na komwe, embu tuache basi tulikuwa tumekaa kimya
Hivi Urassa ni wachaga wa wapi?Njoo nikupe kaka yangu sasa
Kuna wa Kibosho , waromboHivi Urassa ni wachaga wa wapi?
Wewe ni mchaga au umetumia jina tu?Kuna wa Kibosho , warombo
Muite taratibu atajikwaa kwa mbio 🤣makutupora come and meet your soulmate 😄
Kielelezo cha mtu mjinga.This is very unfair na utoto wa hali ya juu Sana Sana! Unawezaje kuandika upumbavu kama huu? Shame on you
Ni mchagaWewe ni mchaga au umetumia jina tu?
Hakuna mchaga golikipa!Una kazi yoyote inayokupa kipato ? Usije ukawa goli kipa,,,,, sasa hivi ni 50/50! Chagga specify,,, kibosho, machame, old moshi, marangu , rombo n.k